Home Uncategorized Brand New: Ben Pol feat Joe Makini – Unanichora

Brand New: Ben Pol feat Joe Makini – Unanichora

Brand New: Ben Pol feat Joe Makini - UnanichoraIle single iliyokuwa ikisubiriwa kwa ham , leo hii imedondoka kwenye maskio yako.Mkali wa R&B kipenzi cha akina dada, Ben pol leo hii ameachia mzigo wake mpya chini ya mkono wa producer Fundi Samweli “Unanichora”  akiwa na Joh  Makini