Home Uncategorized Studio ya Diamond imeanza kufanya kazi Uncategorized Studio ya Diamond imeanza kufanya kazi July 28, 2015 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Mshindi wa Tuzo ya African Archivers Awards ‘African Artist of the Year 2015’ Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kufungua studio kwa ajili ya kuinua wasanii wachanga kwa kurecord bure, Diamond ametangaza kuwa studio hiyo tayari imefunguliwa na ametoa namba kwa wasanii wachanga ambao wangependa kwenda kurecord kwenye studio hiyo “Wasafi Records”, Namba hiyo ni +255674739353