Game yetu imebadilika sana. Siku hizi imekua biashara mpaka kupelekea mabadiliko makubwa ya kimaisha kwa wasanii, ma Producer na hata ma Manager wao. Kila kitu unachokiona siku hizi kama wasanii wetu kutumbuiza Kwenye majukwaa makubwa na kutoa ushindani mkubwa kwa wasanii watokao nchi za nje yote haya yanachimbuko lake. Leo Kwenye heshima ya Bongo Fleva tupo na Baba mlezi wa Game yetu kutoka Bongo Records @jrjuniortz na @dullahplanet tunamleta kwenu P Funk Majani @majani187 na utafahamu kuanzia uanzilishi wa Bongo Records mpaka leo hii anafanya Kazi na @harmorapatz1 pa1 na @bongolostz . Tune planet Bongo 13:00-16:00hrs msanue na mwanao afu wana wote tukutane hapo
#semandiwooo
#usifositufanane